MANCHESTER- IKIWA ni siku ya kwanza tangu ajiunge na Manchester United, Nemanja Matic (28) ameanza mazoezi na timu hiyo katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo wa Carrington maarufu AON.
No comments