Header Ads

Tundu Lisu afikishwa mahakamani Dar es Salaam # Picha mbalimbali za mahakamani

https://pbs.twimg.com/media/DFfQ9kDWsAADhm3.jpg



Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lisu, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka yake ambayo bado haijawekwa wazi.
Mwanasheria Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Kisutu.
Makada sita wa CHADEMA wakamatwa eneo la Kituo cha kati cha Polisi wakati wakifuatilia kukamatwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu
IMG-20170724-WA0007.jpg
IMG-20170724-WA0008.jpg

FB_IMG_1500896499844.jpg
FB_IMG_1500896506343.jpg

  IMG_20170724_144943.jpg

PICHA: Mawakili Peter Kibatala na Fatma Karume wakinena jambo mahakama ya Kisutu kabla ya kusikilizwa kesi ya mteja wao, Mbunge Tundu Lissu.

IMG_20170724_144943.jpg

No comments

Powered by Blogger.