Header Ads

Jioni Njema; RB Leipzig waigomea Liverpool # Man City waipiga bao Chelsea # Conte kocha ghali zaidi Chelsea



http://i4.liverpoolecho.co.uk/incoming/article12677655.ece/ALTERNATES/s615/GettyImages-617401090.jpg

LEIPZIG- DAU lenye thamani ya pauni milioni 66 (sh bilioni 191.4) kutoka Liverpool, limekataliwa na klabu ya RB Leipzig ya mjini hapa ikiwa ni usajili wa kiungo Naby Keita. RB Leipzig wanadai kiungo huyo hauzwi. Times.
http://images.performgroup.com/di/library/omnisport/d0/6b/danilo-cropped_1x9y9wn20jp5v127w1waeizqwu.jpg?t=-799639743&w=620&h=430
Sky Sport Italia imeeleza kuwa Manchester City imeipiku Chelsea, kwenye mbio za kumsajili beki wa Real Madrid, Danilo (26) kwa dau la pauni milioni 31 (sh bilioni 89.9).
http://i3.mirror.co.uk/incoming/article10469654.ece/ALTERNATES/s615/Chelsea-manager-Antonio-Conte-celebrates-with-the-trophy-after-winning-the-Premier-League.jpg
Antonio Conte, amekuwa kocha wa kwanza kulipwa fedha nyingi katika historia ya Chelsea baada ya kusaini mkataba mpya ambao utamfanya alipwe pauni milioni 9.5 (sh bilioni 27.5) kwa mwaka. Evening Standard.
https://www.thisisanfield.com/wp-content/uploads/160410-072-Liverpool_Stoke-585x456.jpg
Kiungo wa Liverpool, Kevin Stewart (23) amerudishwa Uingereza kutoka Hong Kong kwa ajili ya kukamilisha dili lake la kujiunga na Hull City kwa dau lenye thamani ya pauni milioni 8 (sh bilioni 23.2). Liverpool Echo.
http://cdn-03.independent.ie/incoming/article31608278.ece/f1a3a/AUTOCROP/w620h342/1064883%20Read-Only.jpg
Mlinda mlango wa West Ham United, Darren Randolph (30) anaweza akajiunga na Newcastle United, baada ya wagonga nyundo hao wa London kumsajili kwa mkopo kipa wa Man City, Joe Hart. Chronicle.
http://img.bleacherreport.net/img/images/photos/003/260/211/hi-res-b39c17635a5df1e2dfce6b23ed26cae6_crop_north.jpg?1422826798&w=630&h=420
Kocha wa Stoke City, Mark Hughes amejitosa kwenye mchakato wa kumuwania winga wa Schalke 04, Yevhen Konoplyanka (27), kama mbadala wa Marko Arnautovic ambaye amejiunga na West Ham United. Stoke Sentinel.

No comments

Powered by Blogger.