Header Ads

Asubuhi Njema; Mbappe ateta saa tatu na Wenger # Dier aitaka United # Barkley shakani Everton



https://static.independent.co.uk/s3fs-public/styles/article_small/public/thumbnails/image/2017/06/06/15/11-mbappe.jpg

LONDON- MSHAMBULIAJI kinda wa Monaco na Ufaransa, Kylian Mbappe (18) anadaiwa kufanya mkutano wa saa tatu na kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ambao umejadili uwezekano wa mchezaji huyo kujiunga na Arsenal. Express.
http://i4.mirror.co.uk/incoming/article9464460.ece/ALTERNATES/s615/Tottenham-Hotspur-v-Swansea-City-Premier-League.jpg
Kiungo wa Tottenham Hotspurs, Eric Dier amesema anahitaji kuondoka klabuni hapo na kujiunga na Man United. United wanatarajiwa kutoa pauni milioni 50 (sh bilioni 145) kwa ajili ya kuinasa saini ya mchezaji huyo. Guardian.
https://static.standard.co.uk/s3fs-public/thumbnails/image/2014/05/21/09/Ross%20Barkley%20stay.jpg
Hatima ya kiungo mshambuliaji wa Everton, Ross Barkley imezidi kuingia utata kutokana na kocha wa timu hiyo, Ronald Koeman kumuondoa kwenye orodha ya wachezaji walioenda Tanzania. Daily Mail.
https://static.independent.co.uk/s3fs-public/thumbnails/image/2015/12/01/07/Ander-Herrera.jpg
Wababe wa jiji la Manchester, Manchester United wameanza mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo wao mahiri, Ander Herrera (27) ambayo yatasababisha alipwe pauni 175,000 (sh milioni 507.5) kwa wiki. Daily Star.
http://i4.mirror.co.uk/incoming/article8691865.ece/ALTERNATES/s615/Crystal-Palace-v-Blackpool-EFL-Cup.jpg
Klabu ya Everton, inahitaji kuziba pengo la Romelu Lukaku kwa kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace, Christian Benteke, lakini Palace wanaonekana kuwa wagumu kumuuza mchezaji huyo ghali zaidi klabuni hapo. Daily Mirror.
https://static.independent.co.uk/s3fs-public/thumbnails/image/2016/11/25/08/zlatan-ibrahimovic.jpg
Man United wanatarajiwa kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja mshambuliaji wao, Zlatan Ibrahimovic (35), hapo Oktoba atakapokuwa amepona majeraha yake. Sun.
https://static.independent.co.uk/s3fs-public/thumbnails/image/2012/12/03/11/Lucas-Leiva.jpg
Lucas Leiva wa Liverpool anatarajiwa kukamilisha muda wowote usajili wake Lazio, baada ya majogoo hao wa Anfield kutompa ofay a mkataba mpya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30. Daily Star.
https://pbs.twimg.com/profile_images/558252765151903744/8h93ikmu.jpeg
Atletico Madrid wameongeza juhudi zao za kumsajili mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa, baada ya kuyakosa mawindo yao matatu. Pia, timu hiyo iko kwenye mchakato wa kumsajili mchezaji wa Monaco, Fabinho ambaye anatakiwa na Man United. Independent.
http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6875398.ece/ALTERNATES/s615/Manchester-City-vs-Liverpool.jpg
PSG wanadaiwa kumtaka beki wa Manchester City na Ufaransa, Eliaqim Mangala. ESPN.
http://talksport.com/sites/default/files/field/image/201601/dcosta.jpg

Winga wa klabu ya Bayern Munich, Douglas Costa (26), amewasili jijini Turin, kwa ajili ya kukamilisha dili lake la kuhamia Juventus. ESPN.
https://www.thesun.co.uk/wp-content/uploads/2017/07/nintchdbpict000328850866.jpg?strip=all&w=960&quality=100

Kwingineko, PSG iko karibu kabisa kumsajili beki wa Brazil, Dani Alves (34) bure, baada ya kukatisha mkataba wake na Juventus. Awali Alves alikuwa akitakiwa kwa ukaribu na Man City. Telegraph.


No comments

Powered by Blogger.