Header Ads

Asubuhi njema; Man Utd ‘kuifanyizia’ tena Chelsea kwa Bakayoko # Arsenal watoa pauni milioni 45 kwa Lemar # Szczesny kujiunga na Juventus



http://cdn.images.dailystar.co.uk/dynamic/58/photos/990000/620x/Tiemoue-Bakayoko-579115.jpg

LONDON- Baada ya kukamilisha dili la kumsainisha Romelu Lukaku na kuipiku Chelsea, Manchester United wanatarajiwa ‘kuteka’ tena windo la Chelsea kutoka Monaco, Tiemoue Bakayoko (22) baada ya kukubali kutoa pauni milioni 35 (sh bilioni 101.5). Daily Star.
http://thesefootballtimes.co/wp-content/uploads/2015/11/o-gylfi-sigurdsson-facebook.jpg
Baada ya Wayne Rooney kurudi nyumbani, Everton sasa wameweka mezani dau la pauni milioni 32 (sh bilioni 92.8), kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Swansea City, Gylfi Sigurdsson (27). Daily Mail.
https://www.thesun.co.uk/wp-content/uploads/2017/06/nintchdbpict000284163060.jpg?strip=all&w=960&quality=100
Arsenal wako tayari kurudi kwa mara ya tatu kwa Monaco na kutoa dau la pauni milioni 45 (sh bilioni 130.5), kwa ajili ya kumsajili winga wao, Thomas Lemar, baada ya dau lao la kwanza na la pili kukataliwa. Daily Mail.
https://www.thesun.co.uk/wp-content/uploads/2017/06/nintchdbpict000293741926.jpg?strip=all&w=960&quality=100
Mlinda mlango wa Arsenal, Wojciech Szczesny (27), ameondolewa katika orodha ya wachezaji watakaoelekea kwenye ziara ya Australia, ili aweze kukamilisha uhamisho wake wa kuelekea Juventus. The Sun.
http://www.edp24.co.uk/polopoly_fs/1.4810034.1481207590!/image/image.jpg_gen/derivatives/landscape_630/image.jpg
Newcastle United wako mbioni kukamilisha dili lenye thamani ya pauni milioni 8.5 (sh bilioni 24.6), kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Norwich, Jacob Murphy (22) licha ya kutakiwa na timu za Southampton na Cystal Palace. Daily Mirror.
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2016/01/21/13/3064C0D700000578-0-image-a-26_1453384131618.jpg
Middlesbrough wanatarajiwa kukamilisha dili la kumsajili kwa mkopo  winga wa Liverpool, Sheyi Ojo (20) kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao. Times.

No comments

Powered by Blogger.