Header Ads

Liverpool waidunda Hoffenheim na kunusa makundi UEFA





BERLIN- MABINGWA mara tano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Liverpool, wamejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya makundi baada ya kuitandika Hoffenheim bao 2-1.
Mchezo huo ambao ulikuwa mkali zaidi, ulishuhudia beki kinda wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold akiiweka mbele timu yake na kisha bao la pili likawekwa kimiani na Havard Nordtveit ambaye alijifunga kutokana na mpira wa krosi uliopigwa na James Milner.
Bao la Hoffenheim liliwekwa kimiani na Mark Uth.

 

No comments

Powered by Blogger.