Header Ads

Harry Kane, Sanchez, Kante na Hazard kuwania Ballon d’Or



https://static.guim.co.uk/sys-images/Sport/Pix/columnists/2015/3/19/1426783982213/Tottenhams-Harry-Kane-who-009.jpg

LONDON- MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane ni miongoni mwa wachezaji wa Ligi Kuu ya Uingereza aliyeteuliwa kuwania taji la Fifa la mchezaji bora mwaka 2017.
https://static.independent.co.uk/s3fs-public/thumbnails/image/2016/01/14/14/Eden-Hazard.jpg
Mshambuliaji huyo wa Tottenham, atajiunga na Alexi Sanchez, viungo wa kati wa Chelsea, Eden Hazard na N'Golo Kante katika orodha ya wachezaji 24.
http://cdn.images.dailystar.co.uk/dynamic/58/photos/880000/620x/NGolo-Kante-569296.jpg
Mshindi wa mwaka uliopita, Cristiano Ronaldo ameteuliwa pamoja na Lionel Messi wa Bareclona na nyota wa PSG, Neymar. Zlatan Ibrahimovic ambaye mara ya mwisho aliichezea Manchester United, pia ameorodheshwa.
Washindi wataamuliwa na jopo la wakufunzi wa vilabu na wawakilishi wa vyombo vya habari na mashabiki.
Upigaji kura unakamilika Septemba 7 na washindi watatangazwa katika sherehe ya kutoa zawadi Okotoba 23.
BBC

No comments

Powered by Blogger.