Wizara ya Afya imetangaza nafasi 3,152 za ajira katika kada mbalimbali za afya nchini. Tangazo hilo linakuja, baada ya wizara hiyo kupata kibali cha kuajiri kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
No comments