Taifa Stars yapanda nafasi 25 juu # Tundaman asema hamjui Matonya # Uelewa kuhusu GMO unazorotesha kilimo # Washindi Sportpesa wapewa tiketi zao
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imepanda kwa nafasi 25 katika viwango vya soka duniani vya FIFA kutoka nafasi ya 139 hadi ya 114 pic.twitter.com/efy1zOsQ9I— Mpiga Chabo (@AmosiAloyce) July 6, 2017
Msanii Tunda Man amesema hamjui Matonya na hana ukaribu naye. Endelea kusikiliza https://t.co/hwggYT3ud2 #PlanetBongo kufahamu zaidi. pic.twitter.com/M6tapqRbA3— East Africa Radio (@earadiofm) July 6, 2017
Uelewa mdogo kuhusu GMO unazorotesha kilimo https://t.co/lWTf037i9c via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 6, 2017
Baadhi ya washindi wameshachukua Tiketi zao na Tshirt kwa ajili ya siku ya mechi! Tiketi zinapatikana kupitia wakala wa Selcom. #EvertonInTZ pic.twitter.com/Bc5SjxC6z4— SportPesa Tanzania (@TZSportPesa) July 6, 2017
Uelewa kiuchumi wa bei ya mafuta, Tanzania https://t.co/55swAhsEZ4 via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 6, 2017
Hongera Serikali kwa kuanzisha Tarura https://t.co/IiJVh267vJ via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 6, 2017
No comments