Hapo mbele ni Wayne Rooney akiwaongoza wenzake kuingia kwenye basi maalum waliloandaliwa na wadhamini wao, ambao ni kampuni ya Sportpesa ya Kenya. Kampuni hiyo imezidhamini pia Simba, Yanga na Singida United kwa Tanzania Bara.
No comments