Header Ads

Picha mbalimbali za JK akikagua shamba lake la mizabibu Dodoma



DODOMA- RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameendelea kuonesha mfano wa kuigwa kwa vijana na wanasiasa kwa kujikita zaidi kwenye kilimo baada ya kustaafu.
Kwa mujibu wa ukurasa wake wa Twitter, JK ametembelea shamba hilo na kuandika kuwa; “Nikiwa Dodoma nimepata wasaa wa kutembelea na kukagua shamba langu la mizabibu. Mwaka huu mavuno yatakuwa mazuri Insha Allah.

https://pbs.twimg.com/media/DFy6hwRXYAAlOul.jpg
https://pbs.twimg.com/media/DFy6kaEXUAAcjNv.jpg
https://pbs.twimg.com/media/DFy6m6OW0AAGZec.jpg
https://pbs.twimg.com/media/DFy6obwXsAAA8dR.jpg

No comments

Powered by Blogger.