Ndege ndogo iliyobeba waandishi yaanguka Kenya

KIBERA- Waandishi
watatu na rubani mmoja, wamekimbizwa hospitali mjini hapa baada ya ndege ndogo
waliyokuwa wakitumia kusafiri kwenda Baringo kuanguka ghafla.
Ndege hiyo
aina ya Cesna 206 yenye uwezo wa kubeba watu 6, ilianguka ilipokuwa ikielekea
Kabarak ambako ndiko Muungano wa Upinzani nchini (NASA) ulikuwa ukifanya
mkutano.
No comments