JPM aagiza Machinga wasibughudhiwe Msamvu
MOROGORO-
RAIS John Magufuli amewaagiza viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro,
kuwaacha wafanyabiashara wadogo maarufu ‘Machinga’ waendelee kufanya biashara
zao katika eneo la stendi ya mkoa maarufu Msamvu.

No comments