Header Ads

DC Kinondoni aagiza Halima Mdee akamatwe



http://dxzccmtp98vpc.cloudfront.net/wp-content/uploads/2017/07/04123922/pjimage-660x400.jpg
DAR ES SALAAM- MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka ndani kwa saa 48, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi.

Halima Mdee anadaiwa kutoa kauli zinazaodaiwa za kichochezi wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Makao Makuu ya CHADEMA, DSM.
Millard Ayo

No comments

Powered by Blogger.