WFP yahitaji fedha zaidi kukabili njaa kwa watoto duniani
Amesema
nchi nne zilizoathirika zaidi ni Yemen, Sudan Kusini, Somalia na Nigeria, na
kuna uwezekano watoto 600 wakafariki ndani ya miezi minne ijayo kwa kukosa
chakula.
Ameitaka
pia Saudi Arabia kuisaidia Yemen kukabiliana na baa kubwa la njaa
linaloikabili. Vita inatajwa kuwa sababu kubwa ya watoto kukosa chakula katika
sehemu zenye migogoro.
No comments