Wafungwa 17 wauawa kwa risasi Papua New Guinea
Aidha,
taarifa zaidi zinaeleza kuwa Polisi wamewatia mbaroni wafungwa watatu, huku
wakiendelea kuwasaka wengine 50 ambao bado hawajulikani waliko tangu kutokea
kwa kisa hicho katika gereza la Buimo katika mjini hapa.
Polisi
walisema kuwa, wengi wa wafungwa waliotoroka walikuwa wahalifu sugu. Idara ya
usalama nchini imewatahadharisha raia kuwa macho na watoe taarifa kwa vyombo
vya usalama pindi wakiwaona wafungwa hao.
Gereza
hilo la Buimo huwa na msongamano mkubwa wa wafungwa na uchafu, na mwaka jana
wafungwa 12 waliuawa baada ya kujaribu kutoroka.
No comments