Header Ads

Picha za Ikulu ya zamani ya DR Congo aliyoitumia Mobutu Sese Seko

Askari anaonekana katika makazi ya zamani ya aliyekuwa Rais wa DRC Mobutu Sese Seko tarehe 15 Mei, 2017, eneo la Nsele, kilomita 40 nje ya Kinshasa. Sese Seko alifukuzwa na vikosi vya waasi wakiongozwa na Laurent-Desire Kabila mwaka wa 1997 baada ya miaka 32 ya utawala. Alikufa miezi mitatu baadaye, huko Morocco. / AFP / AFP PHOTO / JOHN WESSELSJOHN WESSELS/AFP/Getty Images



Ikulu ya zamani iliyokuwa makao ya Rais wa zamani wa DRC, Mobutu Sese Seko inayopatikana Nselel, kilomita 40 nje ya mji mkuu wa DRC, Kinshasa.

Askari anaonekana katika makazi ya zamani ya aliyekuwa Rais wa DRC Mobutu Sese Seko tarehe 15 Mei, 2017, eneo la Nsele, kilomita 40 nje ya Kinshasa. Sese Seko alifukuzwa na vikosi vya waasi wakiongozwa na Laurent-Desire Kabila mwaka wa 1997 baada ya miaka 32 ya utawala. Alikufa miezi mitatu baadaye huko Morocco. / AFP

Askari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akitazama na kujaribu kuiga michoro ya grafiti kwenye kuta za ikulu ya zamani.
Sese Seko alifukuzwa na vikosi vya waasi wakiongozwa na Laurent-Desire Kabila mwaka wa 1997 baada ya miaka 32 ya utawala. Alikufa miezi mitatu baadaye katika Mei 1997. / AFP



No comments

Powered by Blogger.