Kila la kheri Nelson Issangya siku ya kesho
Siku ya kesho Jumamosi May 27, 2017, Mtanzania
mwenzetu aishiye Marekani, Nelson Issangya atapanda jukwaani kushiriki shindano
la kutunisha misuli la NPC Cascadian Classic litakalofanyika katika mji wa
Oregon.
Macho, masikio na maombi yetu ni kwake ilia pate kuibuka
mshindi wa shindano hilo na kuzidi kulipeperusha vema jina la Tanzania.
No comments