Soma alichosema Nape baada ya kuzuiliwa kwa mkutano wake na waandishi wa habari
Ametokea mtu anayeitwa Iddi Suleiman ambae ni
meneja wa Protea na kudai mkutano hautakuwepo na waandishi walipombana na kumuuliza nani
kazuia, alisema akaulizwe RPC wa Kinondoni.
Nape: Wapuuzi, nimekuja hapa wananitolea bastola eti rudi kwenye gari
Nape: Nmepigana kuiweka CCM madarakani anakuja mtu eti usishuke kwenye gari, mimi Nape sina kinyongo na uamuzi wa rais wangu, kama sikumshawishi kunichagua hivyo hata kuniacha ni sawa
Nape: Nimejitahidi kutimiza wajibu wangu, tusihangaike na Nape tuhangaike na Tanzania inapokwenda nimekuwa mzalendo na muungwana, nimekuwa ninatimiza wajibu wangu
Mimi ndo nilisimama kuiinua CCM, nitasema kweli daima na fitina kwangu mwiko Kinachotukutanisha sio magwanda ya kijani, ni imani, nimefundishwa na mzee Nnauye kusema kweli na kusimamia ninachokiamini, mimi nilishawahi kufukuzwa CCM
Ili mbegu iote shurti ioze Tanzania ni yetu nchini yetu. Mwalimu Kawawa
waliondoka na sisi tutaondoka. Lengo la kuja hapa ni kumshukuru rais kwa alichokifanya.
Namshukuru kwa kuniamini kwa mwaka mmoja. Nampongeza Mwakyembe naye ni mwanahabari. Nimefurahi kufanya kazi na nyie. Muungeni mkono Mwakyembe na Magufuli. Tudumishe amani na upendo wa nchi yetu
Nape ni mdogo kuliko nchi. Wakati wa aliyeniteua ameniondoa mimi ntaendelea kuwatumikia.
Polisi wamezuia gari ya Nape isiondoke, ameshuka kwenye gari anamsikiliza kamanda wa polisi Kinondoni (baada ya gari lake kuzuiliwa na gari la RPC wa Kinondoni)
Nape anawataka waandishi wa habari waondoke, anadai hakuna la kuwaambia tena

Credit: Jamii Forums
No comments