Mahakama Kuu yatengua hukumu ya Lijualikali
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter
Lijualikali hivyo katika kesi ya msingi Lijualikali amekutwa hana Hatia.
Mbunge Lijualikali alihukumiwa kwenda Jela Miezi
Sita(6) bila faini na Mahakama ya Kilombero. Alikuwa akikabiliwa na Kesi ya
kufanya vurugu wakati wa Uchaguzi 2015.
Chanzo: Jamii Forums
No comments