Header Ads

Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo



Jumatatu hii, katika kikao cha 58, mkutano wa 7 Bunge la 11 mjini Dodoma, wabunge mbalimbali waliuliza maswali na kujibiwa na Serikali




Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson akiongoza kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.





Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na umiliki wa maliasili wa mwaka 2017 katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Salma Kikwete katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia katika kikao cha 58 cha Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 leo.
PICHA ZOTE NA MAELEZO, DODOMA

No comments

Powered by Blogger.