Raila awaambia Wakikuyu hawezi akawa adui yao
KIAMBU-
MGOMBEA wa Urais kupitia Muungano wa Vyama vya pinzani nchini (NASA), Raila
Odinga amesema kuwa yeye hawezi akawa adui wa Wakikuyu.
Odinga alisema hayo
wakati akizungumza na wakazi wa Kiambu ambao walijitokeza kumlaki, mara baada
ya kuwasili hapo na kuzungumza nao katika mchakato wa kusaka kura zao.
No comments