Header Ads

Mjengee Mtoto wako uwezo na mwanzo mzuri wa maisha ya Kielimu na Gosheni Nursery & Primary School.

HAKUNA mtu asiyependa kitu bora iwe afya, elimu, makazi, mafanikio na mengine mengi.
Yote hayo yanaweza kupatikana kupitia elimu bora ambayo inapatikana katika mazingira bora.
Kama unataka kumjengea uwezo na mwanzo mzuri wa maisha mwanao basi sehemu sahihi ni Gosheni Nursery & Primary School ndio jibu sahihi kwa mwanao hivyo ukiwa mzazi unashauriwa kumpeleka mwanao Gosheni ili apate elimu bora na nzuri.


Usikubali kudanganywa kwa kupeleka mwanao sehemu nyingine tofauti na Gosheni...

No comments

Powered by Blogger.