Header Ads

Jioni njema; Perisic apanga maisha Man Utd # Walcott kupigania namba Arsenal # Pochettino amtaka kinda wa Argentina



https://metrouk2.files.wordpress.com/2017/02/624810658.jpg?w=620&h=498&crop=1

MILAN- KIUNGO mshambuliaji wa Inter Milan, Ivan Perisic (28) ameonekana kupanga namna maisha yake ya soka yatakavyokuwa ndani ya Manchester United na anatarajiwa kukamilisha dili na kujiunga na timu hiyo kabla ya dirisha la usajili kufungwa. Manchester Evening News.
https://static.independent.co.uk/s3fs-public/thumbnails/image/2015/05/08/11/Theo-Walcott.jpg
Mshambuliaji wa washika bunduki wa London, Arsenal na Uingereza, Theo Walcott, anatarajiwa kupambana kwa ajili ya kupata nafasi ya kuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo licha ya kuhusishwa na usajili wenye thamani ya pauni milioni 20 (sh bilioni 58) kwenda West Ham United. Daily Star.
http://soccersouls.com/wp-content/uploads/2017/07/Juan-Foyth-1.jpg
Kocha wa Tottenham Hotspurs, Mauricio Pochettino, anadaiwa kuvutiwa na mlinzi wa timu ya Estudiantes ya Argentina, Juan Foyth (19) ambaye wakala wake ni mchezaji wa zamani wa Man United, Juan Sebastian Veron. Daily Mirror.
http://e0.365dm.com/17/02/16-9/20/jack-cork-swansea-city-football_3884442.jpg?20170204123436
Burnley wanaripotiwa kufanya mazungumzo na kiungo wa Swansea City, Jack Cork ambaye anatarajiwa kujiunga na timu hiyo kwa dau la pauni milioni 10 (sh bilioni 29). Daily Mirror.
https://metrouk2.files.wordpress.com/2017/01/610190044.jpg?w=748&h=542&crop=1
Newcastle wameripotiwa kuhitaji huduma ya mshambuliaji wa Middlesbrough, Adama Traore (21). Chronicle.
https://platform-static-files.s3.amazonaws.com/premierleague/photo/2016/06/25/adf36686-108a-4194-81d9-f788fcfe4824/pulse-ruben-loftus-cheek-250616-home-grown-talent.jpg
Crystal Palace nao hawako nyuma kwenye usajili, kwani wako mbioni kumnyakua kiungo wa Chelsea, Ruben Loftus-Cheek (21) kwa mkopo wa msimu mzima. Daily Telegraph

No comments

Powered by Blogger.