Header Ads

Breaking News; Bayern Munich wamsajili James Rodriguez kwa mkopo



http://cdn.caughtoffside.com/wp-content/uploads/2015/04/James-Rodriguez-Real-Madrid.jpg
Bayern Munich wametangaza rasmi kuwa wamemsajili mchezaji wa Real Madrid na Colombia, James Rodriguez kwa mkopo wa miaka miwili.

Usajili huo unatarajiwa kudumu hadi hapo 2019 huku kukiwa na kipengele kinachoiwezesha Bayern kumsajili mchezaji huyo moja kwa moja. Sky Sports

No comments

Powered by Blogger.