Begi lazua kizaa zaa uwanja wa ndege wa Manchester

MANCHESTER- Polisi wa
Kitengo Maalum cha uteguaji mabomu mjini hapa, wameitwa katika Uwanja wa Ndege
wa Manchester Terminal III, kwa ajili ya kukagua begi ambalo limetiliwa shaka
kuwa huenda likawa na vilipuzi.
Begi hilo
lililoonekana uwanjani hapo majira ya saa 8:50 asubuhi (kwa saa za Uingereza),
lilisababisha abiria kuondolewa uwanjani hapo na kuelekezwa kutumia Terminal I
na II hadi hapo watakapoarifiwa tena.
RT
RT
No comments