Klabu ya Everton ambayo inatarajiwa kuwasili nchini kesho, wanatarajiwa kutumia basi hilo hapo juu kwa ajili ya safari zake ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na Gor Mahia ya Kenya.
No comments