Zuma matatani tena Afrika Kusini
Nyaraka
hizo ambazo zimechapishwa magazetini nchini, zimedokeza kuwa familia ya Guta
ilipokea malipo ambayo yangeweza kuvuka kiwango cha zaidi ya dola za Marekani milioni
400, katika mpango wa kununua kichwa cha treni kutoka China kwa ajili ya
Shirika la Reli la nchi.
Nyaraka
hizo zinadai kwamba Gupta wangepata dola 750,000. Hata hivyo familia ya Gupta
bado hawajazungumza chochote kuhusiana na shutuma hizo. Msemaji wa Rais Zuma
amepinga taarifa hizo na kusema kuwa ni za kutengenezwa.
No comments