Matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji yamponza IGP wa Venezuela
Ofisi
hiyo, imesema kuwa kuna ushahidi wa kutosha juu ya matumizi ya nguvu
zilizopitiliza kwa waandamanaji. Benavides anatarajiwa kuhojiwa siku ya Julai 6,
mwaka huu.
Aliondolewa
madarakani wiki iliyopita, baada ya polisi aliowapa maelekezo kuonekana
wakiwafyatulia risasi waandamanaji. Zaidi ya watu 80 wameuawa, katika
maandamano ya miezi mitatu ya kupinga utawala wa Rais Nicolas Maduro.
No comments