Majeruhi
wa tukio la mlipuko uliotokea na kuua watu 22 hadi sasa katika mji wa
Manchester nchini Uingereza, akisaidiwa kutembea kuelekea sehemu salama.
Polisi
wakiimarisha usalama na kuwasaidia raia kuondoka katika eneo ambalo mlipuko
ulioua watu 22 ulitokea jana usiku.
No comments