
MADRID,
Hispania
Mahakama Kuu
nchini, imethibitisha adhabu ya kifungo cha miezi 21 jela na faini ya dola za
Marekani milioni 2.2 (sh bilioni 4.8) dhidi ya Lionel Messi kwa kosa la kukwepa
kodi, ikiwa ni miezi kadhaa baada ya nyota huyo wa soka kukata rufaa.
Messi (pichani)
alihukumiwa Julai 2016, lakini huenda hukumu hiyo ikaahirishwa kwani kwa hapa nchini
ni kawaida kwa makosa ya kwanza ambayo si jinai kuwa na hukumu ya chini ya
miaka miwili.
BBC
No comments