Header Ads

Mataifa matano yanayoongoza kwa uhalifu

Ripoti mpya imeonesha kuwa nchi za Caribbean ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza kwa kuwa na uhalifu mkubwa duniani.

Benki moja inayohudumia nchi za Amerika ya Kusini, imefanya utafiti na kuhoji wahanga kutoka nchi tano za Bahamas, Trinidad and Tobago, Barbados, Jamaica na Surinam.
 Zaidi ya nusu ya matukio hayo huwa hayaripotiwi.
Katika matokeo yake, imegundua kuwa karibia robo tatu ya ndugu wa waliokufa wanasema kuwa waliwapoteza jamaa zao kwa kuuawa kikatili. Taarifa hiyo inasema kuwa bastola hutumika zaidi katika mauji hayo ikiwa ni zaidi ya kiwango cha dunia. 
CHANZO: BBC

No comments

Powered by Blogger.