Wawakilishi wa Uingereza wakifika Makao Makuu ya EU nchini Ubelgiji, kwa ajili ya kuwasilisha barua ya kujitoa
Picha
za gari la Kiongozi wa Wawakilishi wa Uingereza waliokwenda makao makuu ya Umoja
wa Ulaya (EU) mjini Brussels Ubelgiji, Sir Tim likiwasili katika viwanja vya
jengo la EU kuwasilisha rasmi barua ya taifa hilo kujitoa kwenye umoja huo. Wametumia
kifungu cha sheria namba 50 kujitoa baada ya kuidhinishwa na Bunge la Uingereza
hivi karibuni
No comments