Picha za tukio zima la Nape Nnauye kuzuiwa kuzungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Protea
Mfanyakazi
wa hoteli ya Protea, Suleiman Kapase akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya kutangaza kuwa mkutano wa Nape Nauye na waandishi hautokuwepo hotelini
hapo na kuwataka waandishi kusambaa.
Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya hoteli ya Protea mara
baada ya kuwasili hotilini hapo na kuzuiwa kuingia katika hoteli hiyo kwa ajili
ya kuzungumza na wanahabari.
Gari la
Nape Nnauye likiwa limezuiliwa na gari la Kamanda wa Polisi Kinondoni, Suzan
Kaganda baada ya mbunge huyo kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari nje ya
hoteli ya Protea.
Nape
Nnauye akizungumza na kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni (yupo garini) baada
kamanda huyo kufika katika mkutano huo kwa ajili ya kuzui Nape asizungumze na
wanahabari. Picha zote na Suleiman Salum
No comments