Mdudu wa ajabu aonekana Argentina
Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa
viwili kimoja kipo mbele na kingine kikiwa nyuma (mkiani). Wengi wamedai kuwa ni nyoka huku wengine wakidai ni mdudu wa jamii ya viwavijeshi.
Mdudu huyu ameonekana
nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
Chanzo: Daily Mail Online
No comments