Terry kustaafu mwishoni mwa msimu huu
Terry
(pichani) mwenye miaka 36 ambaye amefunga goli la kwanza katika mchezo huo, ataondoka
mwishoni mwa msimu huu. Chelsea watakuwa wenyeji wa Sunderland siku ya Jumapili
ikiwa ni mchezo wa mwisho kabisa kwa msimu huu.

Terry
ameichezea Chelsea michezo 716 hii ikiwa ni tokea mwaka 1998. Ameisaidia
Chelsea kushinda vikombe vitano vya FA, Vitatu vya Ligi ya EPL, kombe la
mabingwa Ulaya mara moja na Europa ligi mara 1.
No comments