Mawe yaanguka barabarani na kufunga barabara ya Mombo-Lushoto
Mawe
yameanguka huko Lushoto eneo la barabara ya Vugha. Yamedondokea magari
majeruhi wamekimbizwa Hospital.
Hali
ilivyo katika barabara ya Mombo-Lushoto
Watu
wamekwama barabara ya Mombo-Lushoto haipitiki tena magari manne yamefukiwa na
vifusi vya matope na mawe mpaka sasa majeruhi wanapitishwa hapa kuelekea
hospitali
Jamani
Wakazi wa Soni- Lushoto, kuna mafuriko mvua inavyoendelea kunyesha wapo hatari
kwa mafuriko. Hali mbaya sana na usafiri umegoma tena. huko chini Vuga load,
mawe yameshuka tena. Wakazi wa wilaya ya Lushoto tuko katika kipindi kigumu
sana Mungu atupe wepesi mvua itulie maana hali ni mbaya zaidi.
Hali
ilivyo kwa sasa. Barabara hazipitiki kutokana na mawe na mafuriko kufunga
barabara ya Lushoto-Mombo
Greda
likijitahidi kuondoa tope lililojaa barabarani
No comments