JPM na mkewe wawatembelea wagonjwa Muhimbili
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige
Kanyasu (Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kwa ajili ya Matibabu. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Lawrence Museru
pamoja na Dk Juma Mfinanga, Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na
Ajali katika hospitali hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli akizungumza
na Mzee Francis Maige Kanyasu (Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru
Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru
alikuwa akidaiwa kuishi kwa kula sukari, maziwa na mafuta ya kula
lakini hali yake imeimarika zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida.
Katikakati ni mama yake Shukuru, Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli akiwa
pamoja na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wakimtakia heri mtoto Shukuru
Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Mama
yake Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli akiwajulia
hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli akiwajulia
hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli akiwajulia
hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini Dar es Salaam.
No comments