‘Nikiwa hapa Brussels kuhudhuria Mkutano wa Wadau wa Libya nimepata fursa ya kukutana na mwanasoka na kipenzi chetu @samatta77 leo hii’…..Ni maneno ya Jakaya Kikwete jana alipokutana na mwanasoka wa Tanzania, Mbwana Samatta.
No comments